Isha Mashauzi akiwa na tuzo ya Wimbo Bora wa taarab.
Mmoja wa akina dada walioudhuria hafla hiyo akihojiwa na mwandishi wa habari.
Diamond akipozi na shabiki wake.
H. Baba na mchumba wake Flora Mvungi.
Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es
Salaam usiku wa kuamkia leo ulijaa shangwe na vifijo wakati wanamuziki
wa Bongo walipokuwa wakitunukiwa zawadi za umahiri wa sanaa hiyo
zijulikanazo kama KILI MUSIC AWARDS 2012.
(PICHA NA ISSA MNALLY/GPL)
Kwa hisani ya GPL.