Pokea zawadi ya Pasaka-Pokea Sifa - Milimani Gospel Sounds
Heri ya Pasaka Wadau wa Mihangaiko popote mlipo.
Namshukuru Mungu kwa kuwa hai siku hii ya Leo. Tukikumbuka kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Ni vyema tuweze kumsifu Mungu kwa kumwambia Pokea Sifa.