Sunday, April 22, 2012

Pata Songi la nguvu kutoka kwa akina Shinners for Christ- Bado ipo Neema

Yuko wapi Samsoni aliepakwa Mafuta..... Ni baadhi ya maneno yanayopatikana kwenye hilo songi. Yaani maadhi ya Zouk ndani ya muziki wa injili.

Furahia Jumapili yako pamoja nasi.