Madereva wakiwa wanamzuia mwenzao asiendelee na safari katika sakata la mgomo muda huu
Baadhi ya Dala dala zikiwa zimeziba bara bara mapema muda huu
Hapa ni maeneo ya Sangu shule ya Sekondari ambapo dala dala zimeziba njia
Kutokana na Mgomo huu umesababisha safari za kutoka Soko Matola kuelekea Uyole kuwa za shida. tutaendelea kuwajulisha endelea kufuatilia
(Picha na Habari kwa Hisani ya Mbeya Yetu Blog)