Saturday, June 11, 2011

CUF yafuta maandamano ya Juni 12, 2011!

Jana niliwapwni dondoo ya maandamano ya CUF, sasa leo kuna jipya kuhusiana na mandamano.

Chonde chonde usiandamane,maana mwenyekiti kasema, unataka kujua kasemaje? Endelea mwenyewe hapo


M/kiti Taifa wa chama cha CUF Mhe. Ibrahim Lipumba ametangaza kufuta maandamano yaliyopangwa na chama hicho kufanyika kesho.... Amesema uamuzi huo umekuja baada ya kuombwa na Mhe Waziri Mkuu, Mizengo Pinda! Hivyo kesho hakutakuwa na maandamano hayo hadi siku yatakapotangazwa tena...
Chanzo: TBC 1
--