Saturday, October 09, 2010

Tanzania VS Algeria

Matokeo ni wao moja sie sifuri, duh tumepona kufungwa lingine. Bado dakika chache iwe mapumziko.

Mpira ni mapumziko.

Jamaa ndio walikuwa wanaimba nyimbo za Taifa kabla ya kuanza kipindi cha pili. Si unajua tena hawakuimba wakati wa kipindi cha kwanza?

Mpira umeanza sasa kama saa 11:15 jioni.