Monday, April 18, 2016

TASWIRA MWANANA KATIKA UFUKWE WA KAWE BICHI JIJINI DAR ES SALAAM


TASWIRA MWANANA KATIKA UFUKWE WA KAWE BICHI JIJINI DAR ES SALAAM
Kamera ya Globu ya Jamii, wikiendi hii ilizuru katika Ufukwe wa Kawe Bichi Jijini Dar na kubahatika kuzinasa taswira hizi mwanana kabisa.



Samaki wakiparwa mara baada ya kutoka kuvuliwa, ambapo kila ifikapo Jioni huwa kunakuwa na Mnada wa Samaki katika ufukwe huu wa Kawe.
Mdau akila Tizi Ufukweni.
Muonekani kwa upande mwingine wa Ufukwe.
  Chombo kikirejea.
Chombo kimepaki baada ya safari ndefu ya Baharini katika Uvuvi.
Mdau akitabaruku ufukweni.