Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF , Crescentius Magori akizungumza na Afisa Mwandamizi Matekelezo wa NSSF, Theopista Muheta (kulia) na Afisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Aisha Sango wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
(Na Mpigapicha Wetu).
Afisa Matekelezo Sekta Binafsi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Edwin Kafanabo akitoa maelezo jinsi ya kujiunga kwa hiari uanachama wa NSSF wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Afisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Aisha Sango (kushoto) akimkabidhi fulana mwanachama wa hiari aliyejiunga na NSSF wakati wa wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.