Hii ilikuwa ni mara ya kwanza Titan kuonekanaa sura yake hadharani tangu azaliwe, mara nyingi Kelly amekuwa akimficha mtoto wake kupigwa picha, hata picha ambazo amekuwa akipost hakuwahi kumuonyesha sura.
Hotel hiyo ilifungwa kwa muda ili kuuhudumia ugeni huo.
Beyonce na mama yake Tina Knowles.