Monday, October 20, 2014

PICHA:TAZAMA ZIARA YA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP ERNEST MANGU RUVUMA NA NJOMBE



PICHA:TAZAMA ZIARA YA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP ERNEST MANGU RUVUMA NA NJOMBE
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akizungumza na wadau wa Polisi Jamii mkoani Ruvuma (hawapo pichani) wakati wa ziara yake mkoani humo.IGP yupo katika ziara mikoa ya Iringa, Njombe na Ruvuma kukagua utendaji kazi wa Jeshi la Polisi.Kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akitoa maelekezo kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Furgence Ngonjani baada ya kukagua ujenzi wa Jengo la Polisi unaoendelea mkoani humo.IGP alikuwa katika ziara mikoa ya Iringa, Njombe na Ruvuma kukagua utendaji kazi wa Jeshi la Polisi.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akipokea zawadi ya kitabu cha Quran, kilichotafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kutoka kwa Sheikh wa Ahmadiyya Mkoa wa Ruvuma Sheikh Yusuf Kambaulaya kama ishara ya kumkaribisha mkoani Ruvuma wakati wa hafla ya wadau wa Polisi Jamii iliyofanyika Mjini Songea Jana.IGP yupo katika ziara mikoa ya Iringa, Njombe na Ruvuma kukagua utendaji kazi wa Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akipokea zawadi ya kitabu cha Quran, kilichotafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kutoka kwa Sheikh wa Ahmadiyya Mkoa wa Ruvuma Sheikh Yusuf Kambaulaya kama ishara ya kumkaribisha mkoani Ruvuma wakati wa hafla ya wadau wa Polisi Jamii iliyofanyika Mjini Songea Jana.IGP yupo katika ziara mikoa ya Iringa, Njombe na Ruvuma kukagua utendaji kazi wa Jeshi la Polisi.Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi