Tuesday, September 25, 2012

Chadema:katibu wa Chadema mkoa wa kinondoni na katibu wawa kanda maalum ya Dar es salaam Henry Kilewo Atua Usangi na Kuvunja Ngome ya Profesa Jumanne Maghembe



 katibu wa Chadema mkoa wa kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam Kamanda Henry  Kilewo Akimkabize Mzee Kadi mpya ya Chadema baada ya mzee Huyo kurudisha kadi ya Tanu(ccm) Maeneo ya Usangi.
 katibu wa Chadema mkoa wa kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam Kamanda Henry  Kilewo Akitekeleza Jukumu la Kuingiza wanachama wapya
Kamanda Kilewo Akitoa maelekezo ya Kuanza kuwapokea Wanaccm  Waliyoamua kujivua Gamba na Kuvaa Gwanda Hali ilikuwa Nzuri.Picha na CHADEMA