Picha:Waombolezaji wakijiandaa kushusha kaburini jeneza la aliyekuwa Meneja Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza aliyezikwa kijijini kwao Mulukulazo, Ngara mkoani Kagera
Waombolezaji wakijiandaa kushusha kaburini jeneza la aliyekuwa Meneja Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza aliyezikwa kijijini kwao Mulukulazo, Ngara mkoani Kagera jana. Picha na Shaaban Ndyamukama