Thursday, May 22, 2014

Mh. Mwandosya atembelea Benki ya CRDB nchini Burundi

 
 
 
 
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya (wa tatu kushoto) akimsikiliza kwa makini Meneja Mkuu wa Benki ya CRDB tawi la Burundi,Bruce Mwile (kulia) wakati alipotembelea Makao Makuu ya CRDB yaliopo mjini Bujumbura,nchini Burundi.Wengine pichani toka kushoto ni Bi. Muna Mahanyu,Mkurugenzi wa Sheria EWURA,na Ndugu Elias Tamba,Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Burundi.