![]() |
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. Jorge Luis Lopez Tormo, Balozi mpya wa Jamhuri ya Cuba hapa nchini.Hafla hiyo ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam jana. |
![]() |
Mhe. Rais Kikwete akizungumza na Mhe. Balozi Tormo mara baada ya kupokea Hati za Utambulisho za Balozi huyo. Pembeni mwa Balozi ni Mke wake Bibi Maria Griselda Herviz. |
![]() |
Mhe. Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Tormo na mkewe Bibi Herviz mara baada ya kupokea hati za utambulisho za Balozi huyo. |
![]() |
Mhe. Balozi Tormo akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu. |