Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa Benki ya Rasilimali nchini (TIB) Jaffer Machano akizungumza wakati wa kikao kifupi kati ya uongozi wa TIB na ule wa Manispaa ya Moshi juu ya Ujenzi wa kituo kipya cha kisasa cha Mabasi cha Ngangamfumuni . |
Kikao kinaendelea. |
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa kikao hicho. |
Na Dixon Busagagawa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.