Monday, July 11, 2016

BREAKING NYUZZZ....: LORI LAGONGA KINGO ZA DARAJA LA KIGAMBONI NA KUPIGA MWELEKA USIKU HUU

BREAKING NYUZZZ....: LORI LAGONGA KINGO ZA DARAJA LA KIGAMBONI NA KUPIGA MWELEKA USIKU HUU
 Pichani ni baadhi ya mashuhuda wakiliangalia lori lililopoteza muelekea na kugonga kingo za daraja la Nyerere Kingamboni, na kupinduka usiku huu. chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika na haijajulikana kama kuna aliepoteza maisha au majeruhi katika ajali hiyo.
Muonekani la lori hilo baada ya ajali.