Thursday, March 31, 2016

BREAKING NEWWZZZ;WABUNGE WATATU WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA TUHUMA ZA RUSHWA


BREAKING NEWWZZZ;WABUNGE WATATU WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA TUHUMA ZA RUSHWA
 
Pichani kutoka kushoto ni Mbunge wa Mwibala,Mh.Kangi Lugola,Mbunge wa Mvomero Mh.Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa jimbo la Lupa Mh.Victor Mwambalaswa

 Wabunge watatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wamefikishwa mahakama ya Kisutu hivi punde kwa tuhuma za rushwa,Wabunge hao kama waoenekanavyo pichani ni Mbunge wa Mwibala,Mh.Kangi Lugola,Mbunge wa Mvomero Mh.Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa jimbo la Lupa Mh.Victor Mwambalaswa

TAARIFA KAMILI ITAWAJIA HAPO BAADAE KIDOGO .