Askari wa kikosi cha kuzuia ghasia katika jeshi la Polisi mkaoni Ruvuma F 5425 PC Emmanuel Nyagoli ( 35), anatafutwa na Jeshi hilo kwa kosa la kujipatia ajira kwa vyeti vya kugushi, Na kwa sasa hajulikani alipokimbilia. Taarifa zaidi hii hapa RUVUMA TV.