Mihangaiko | Hapa na Pale

Hapa na Pale Katika Maisha

Wednesday, April 15, 2015

BASI LA KAMPUNI YA JORDAN LAPATA AJALI, MMOJA APOTEZA MAISHA NA WENGINE KUJERUHIWA




BASI LA KAMPUNI YA JORDAN LAPATA AJALI, MMOJA APOTEZA MAISHA NA WENGINE KUJERUHIWA



Basi la kampuni ya Jordan  linalofanya safari zake kati ya Mwanza na Moshi limepata ajali  maeneo ya kitangiri Nzega, inasadikiwa mtu mmoja kapoteza maisha, na wengine kadhaa kujeruhiwa.

Name: IMG-20150415-WA0012.jpg          Views: 0 Size: 93.5 KB

Share
‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.