Monday, March 30, 2015

BREAKING NEWS:Keisha anusurika kifo kwenye ajali



BREAKING <a class="moz-txt-link-freetext" href="NEWS:Keisha">NEWS:Keisha</a> anusurika kifo kwenye ajali

Msanii wa Bongo Fleva,Khadija Shabani'Keisha' amenusurika kifo baada ya kupata ajali maeneo ya Maktaba,Posta jijini Dar.


Akizungumza na Paparazi alisema kuwa alikuwa akitoka chuoni CBE na kwamba alikuwa akimfuata mumewe alipofika maeneo hayo ndipo lilipotokea gari na kumuovateki na kuligonga gari lake. Aidha alisema kuwa alisikia maumivu na alipokwenda hospitali kufanyiwa vipimo vilionyesha hakupata majeraha kwa ndani.

 ''Nashukuru Mungu nilipimwa hospitali vipimo vilionyesha sikupata madhara yoyote kwa ndani kwani nilikuwa na wasiwasi labda niliumia kwa ndani,'alisema Keisha.