Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na vijana kutoka kata za Kibaoni na Usevya wilayani Mlele mkoani Katavi waliomtembelea nyumbani kwake Kibaoni leo akiwa kwenye mapumziko na Krismas na Mwaka mpya.
Katikati mwenye miwani ni Mzee Chrisant Mzindakaya
Picha na PMO