Sunday, July 06, 2014

Dk.MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BARABARA ZA USAGARA - KISESA NA MAKUTANO - NATTA MKOANI MWANZA NA MARA

Dk.MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BARABARA ZA USAGARA - KISESA NA MAKUTANO - NATTA MKOANI MWANZA NA MARA
Leo Jumapili Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (MB) amefanya ziara ya kushtukiza kukagua miradi ya maendeleo ujenzi wa barabara za Usagara - Kisesa yenye urefu wa kilomita 16 iliyopo mkoa wa Mwanza na barabara ya Makutano - Natta illiyopo mkoa wa Mara.
Ukaguzi barabara ya Makutano - Natta (Mkoani Mara)
 Ukaguzi daraja la Kyarano (Wilayani Butiama)
Ujenzi Daraja la Kyarano akiwa na Mh.Mkono
Ukaguzi daraja la Nyashishi barabara ya Usagara - Kisesa, mkoani Mwanza