Sunday, May 25, 2014

JK AMJULIA HALI MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE


JK AMJULIA HALI MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE


Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu(ICU) hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam leo.