Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba maeneo ya manzese darajani karibia na bank ya advans yasemekana kuna nyumba 4 zinaendelea kuteketea na moto mda huu, mpaka dakika hii chanzo cha moto huo bado hakijajulikana, but stay tune soon tutawajuza habari kamili kuhisiana na moto huo.