Sunday, November 04, 2012

Bridgit Alfred atwaa taji la Redd's Miss Tanzania usiku huu



Redd's Miss Tanzania 2012,Bridgit Alfred (katikati) akiwa na mshindi wa Pili,Eugene Fabian (kushoto) na Mshindi wa Tatu,Edda Sylvester (kulia) mara baada ya kutangazwa mshindi wa Redd's Miss Tanzania 2012 iliyomalizika usiku huu katika ukumbi wa hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar.
 Redd's Miss Tanzania 2012,Bridgit Alfred akirurahia mara baada ta kutangazwa mshindi katika shindano lililomalizika hivi punge kwenye ukumbi wa 
hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar.