![]() |
Sehemu ya umati wa wakazi wa Iringa kwenye muonekano mpya wa tamasha la serengeti fiesta 2012 ndani ya uwanja wa samora. |
![]() |
Ni mkali mwingine kutoka jijini Mwanza kupitia shindano la Serengeti Supa Nyota 2012, Young KIller akikamua vilivyo mbele ya wakazi wa mji wa Iringa ndani ya uwanja wa samora,pamoja na muonekano mpya wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012.(picha zote kwa hisani ya http://issamichuzi.blogspot.com) |