
Mkuu
wa Wilaya ya Tanga Bi.Halima Omary Dendego wapili toka kushoto na Mkuu
wa Vodacom Foundation Bw.Yessayta Mwakifulefule wakishuhudia wakati
Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Bw.Hassan
Saleh,akimkabidhi madafutari mtoto anaeishi kwenye mazingira magumu
mkoani Tanga Juma Hassan,wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Ramadhan Care
& Share iliyozinduliwa mjini humo ikiwa na lengo la kufuturisha
watoto yatima zaidi ya 500 sehemu mbalimbali nchini wakati huu wa mfungo
wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Mkuu
wa Wilaya ya Tanga mjini Bi.Halima Omary Dendego (kushoto)akishuhudia
Ofisa Mkuu wa mauzo na usambazaji wa Vodacom Tanzania Bw.Hassan Saleh
akimkabidhi madafutari Zainabu Omary ambae ni mtoto anaeishi katika
mazingira magumu mkoani Tanga wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Ramadhan
Care & Share iliyozinduliwa mjini humo ikiwa na lengo la
kufuturisha watoto yatima zaidi ya 500 sehemu mbalimbali nchini wakati
huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,katikati ni Mkuu wa wa
Kampeni hiyo inayoendeshwa na Vodacom Foundation Bw.Yessaya
Mwakifulefule.

Ofisa Mkuu wa mauzo na usambazaji wa Vodacom Tanzania,Bw.Hassan Saleh
akimkabidhi ndoo ya mafuta ya kula mmoja wa watoto wanaoishi katika
mazingira magumu mjini Tanga,Aisha Mohamed,wakati wa uzinduzi wa kampeni
ya Ramadhan Care & Share 2012 inayolenga kufuturisha watoto
yatima zaidi ya 500 sehemu mbalimbali nchini wakati huu wa mfungo wa
Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,anaeshuhudia watatu kutoka kulia ni Mkuu wa
Kampeni hiyo inaendeshwa na Vodacom Foundation Bw.Yessaya
Mwakifulefule.

Mkuu wa Wilaya ya Tanga mjini wapili toka kushoto Bi.Halima Omary
Dendego akikabidhi mbuzi pamoja na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,kwa
watoto yatima wa mkoani humo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Ramadhan
Care & Share mjini humo inayolenga kufuturisha watoto yatima zaidi
ya 500 sehemu mbalimbali nchini wakati huu wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan,Kampeni hiyo inaendeshwa na Vodacom Foundation.

Imam Mkuu wa Masjid ma’amour ya upanga Dar es Salaam Shekh Issa Othman
kushoto akisalimiana na Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania Bw. Matina
Nkurlu, wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Ramadhan Care & Share
iliyozinduliwa mkoani Tanga,ikiwa na lengo la kufuturisha watoto zaidi
ya 500 sehemu mbalimbali nchini wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa
Ramadhan,katikati ni Mkuu wa Vodacom Foundation Bw.Yessaya
Mwakifulefule.

Mapokezi

Mkuu
wa Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule na Meneja Mahusiano wa
Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu wakiwahudumia watoto wanaoishi katika
mazingira magumu mkoani Tanga wakati wa uzinduzi wa kampeni ya
Ramadhan Care & Share iliyozinduliwa mkoani humo ikiwa na lengo la
kufuturisha watoto zaidi ya 500 sehemu mbalimbali nchini wakati huu wa
mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Mkuu wa Wilaya ya Tanga akiwa kwenye uzinduzi huyo…