IKULU:Rais Jakaya Kikwete Amjulia Hali Bibi Kikongwe (85) Katika Kijiji cha Msoga
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Bibi Antonia Mbagalla (85)
katika kijiji cha Msoga, kata ya Chalinze Wilayani Bagamoyo wakati wa
mapumziko ya mwisho wa wiki leo (Jumapili).Picha na Freddy Maro-IKULU