Friday, July 27, 2012

HERI YA SIKU YA KUZALIWA MHE SPIKA ANNE MAKINDA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Anne Makinda (kushoto) akipokea zawadi ya keki iliyoandaliwa na wafanyakazi wa ofisi ya Bunge katika kuazimisha miaka 63 ya kuzaliwa kwake mjini Dodoma.