Waziri Mpya wa Wizara ya Miundombinu
na Mawasiliano Zanzibar, Rashid Seif kulia akikabidhiwa Ofisi yake na
Waziri wa Wizara hiyo aliyejiuzulu karibuni Hamad Masoud Hamad kufuatia
ajali ya kuzama kwa MV.Skagit.
(Picha na Nafisa Madai-Maelezo Zanzibar)