Sunday, April 24, 2016

NAIBU MEYA WA MANISPAA YA TEMEKE AFANYA ZIARA CHANG'OMBE JIJINI DAR.


NAIBU MEYA WA MANISPAA YA TEMEKE AFANYA ZIARA CHANG'OMBE JIJINI DAR.

 Naibu Meya wa Manispaa ya Temeke, Feythar Salum akionyesha mtalo  kwa watendaji na baadhi ya Madiwani wa  Manispaa hiyo  katika ziara yake iliyofanyika Chang'ombe Polisi jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Property Internationa, Abdul  Haleem (mwenye pama)akizungumza na Madiwani pamoja na watendaji wa  Manispaa ya Temeke juu ya kusaidia Manispaa hiyo katika sekta ya elimu kwa dhamira ya kumuunga mkono  Rais Dkt. John Pombe Magufuli jijini Dar es Salaam.