Monday, February 08, 2016

Jikumbushe zamani Basi


Allen Kicharungu's photo.

#‎PICHA‬ hila hawa jamaa wametoka mbali sana, sema tu ulafi wa pesa ndio umewatenganisha daaa!! hila kwenye siasa hakuna adui mi najua wanakutana na wanagongeana glas

Wajumbe-Mkutano Mkuu CCM wakimsikiliza Mwalimu. Baadhi kwenye picha ni Daniel Njoolay, Jakaya Kikwete, Prof Sarungi, Edward Lowassa.

Toa neno moja kwao.