Sunday, August 02, 2015

MATOKEO YA MCHAKATO NA MATOKEO YA KURA ZA MAONI UBUNGE CCM NCHINI KOTE


MATOKEO YA MCHAKATO NA MATOKEO YA KURA ZA MAONI UBUNGE CCM NCHINI KOTE
Jana August 1,2015 Wanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) nchi nzima wanakusanyika katika maeneo ya matawi yao kuchagua mgombea mmoja atakayeshindana na wagombea wengine kutoka vyama tofauti na CCM.



Mchakato wa kampeini katika mkoa huu zimetawaliwa na vituko,udhalilishaji kwa baadhi wa wagombea hivyo hata upigaji kura za maoni utakuwa hivo hivyo,hii ndiyo sababu inatufanya tufuatilie  kura hizi.


 KURA ZA MAONI CCM

1. Mwigulu - Iramba

2. Nape - Mtama

3. Mwakasaka - Tabora Mjini

4. Mama Sitta - Urambo

5. Kadutu - Ulyankulu

6. Bashe - Nzega

7. Ngeleja - Sengerema

8. Seif - Igunga ktk jimbo jipya.

9. Masaburi - Ubungo

10. Patel - Ukonga

11. Prof Kamala - Nkenge, Misenyi

12. Kagasheki - Bukoba mjini

13. Lukuvi - Isimani

14. January - Bumbuli

15. Muhongo - Musoma vijijini

16. Ndugai - Kongwa

17. Chumi - Mafinga

18. Kigola - Mufindi kusini

19. Mgimwa - Mufindi kaskazini


20. Filikunjombe - Ludewa

21. Mgimwa - Kalenga...

22. Lusinde - Mtera

23. Imani Moshi - Kaliua

24.Mwakasaka -Tabora mjini

25.Fenala Mkangara -Kibamba

26.Mapunda-Mbinga mjini

27.Masele -Kahama

28.Antony Mavunde-Dodoma

29.Said Fella-Kilungule



WALIO PIGWA CHINI

1.Steve Nyerere - Kinondoni

2.Ismail Aden Rage - Tabora Mjini

3.Jerr Muro-Kawe