Saturday, January 24, 2015

MAJAMBAZI WAKAMATWA WAKIJARIBU KUWAKIMBIA POLISI DARAJANI ZANZIBAR



MAJAMBAZI WAKAMATWA WAKIJARIBU KUWAKIMBIA POLISI DARAJANI ZANZIBAR
Majambazi wamekamatwa Darajani Zanzibar jana baada ya kufyatuliana risasi na polisi wakati wakijaribu kukimbia. 

Katika tukio hilo wananchi kadhaa walijeruhiwa kwa kugongwa na gari katika harakati za majambazi hayo kukimbia. 

Polisi imewatia mbaroni majambazi watatu baada ya wananchi kutoa ushirikiano.