Saturday, October 25, 2014

MKUTANO WA KUANDAA RAMANI YA MJI WA ZANZIBAR WAFANYIKA



MKUTANO WA KUANDAA RAMANI YA MJI WA ZANZIBAR WAFANYIKA
06   Baadhi ya washiriki wa mkutano uliojadili mpango wa kuandaa ramani ya Mji wa Zanzibar wakifuatilia maelezo yaliyotolewa kwenye mkutano huo katika Hoteli ya Marumaru.
03Mshauri mwelekezi kutoka kampuni ya Shapira Hellerman ya Israel,   Jos Hellerman akitoa taarifa  ya ramani ya Mji wa Zanzibar katika mkutano uliozungumzia mpango wa kuandaa matumizi bora ya ardhi katika Hoteli ya Marumaru, Shangani Mjini Zanzibar.01Mkurugenzi  Mipango Miji na vijiji Muhammad Juma akitoa maelezo kwa washiriki wa mkutano wa kuandaa ramani ya Mji wa Zanzibar uliofanyika Hoteli ya Marumaru, Shangani.