Monday, September 22, 2014

KUMBUKUMBU YA MAREHEMU BAKARI .M. NYAMBI


KUMBUKUMBU YA MAREHEMU BAKARI .M. NYAMBI
Familia ya Bw.BAKARI NYAMBI wa Temeke Dar es Salam wanakumbuka kifo cha baba yao mpendwa Bw.BAKARI NYAMBI kilichotokea tarehe 22.09.2014 siku ya Alhamisi na kuzikwa Ijumaa hapa DSM.Leo ni siku ya kumbukumbu yake mpendwa wetu Bakari Nyambi,kama ndugu jamaa na marafiki wa familia hiyo tunaomba kushirikiana katika kumuombea kwa mungu siku zote za maisha yetu.

Tulimpenda sana hila Mungu alimpenda zaidi ('TUKUMBUKE MANENO WANAYOTUELEZA WAZAZI KWANI YANA FAIDA KWA MAISHA YA BAADAE HASA SHULE' huo ndiyo ulikuwa usemi wa baba yetu mpendwa kwa vijana wake.)