Saturday, May 17, 2014

BISHOP MABOYA KUHUBIRI NENO KATIKA JIJI LA DALLAS,TEXAS USA

 
 
 
 
Kwa niaba ya uongozi wa Kanisa la Umoja International Outreach lenye makao yake ktk jiji hili la Dallas, ninapenda kumkaribisha kila mtu ktk semina ya neno la Mungu.
Semina hii ya aina yake itaongozwa na mtumishi Bishop Dunstan Maboya (pichani juu) kutoka Tanzania.
Mungu amekuwa  akimtumia huyu mtumishi kwa ishara na miujiza mingi.Ninapenda kumkaribisha kila mtu ktk semina hii.Leteni wagonjwa mbali mbali kwa ajili ya maombezi.

Siku: Tarehe 16-18 (Friday-Sunday)
Time:Friday ni 6:00pm
          Saturday & Sunday ni 5:00 pm.
Mahali:Umoja Church; 6411LBJ FREEWAY DALLAS TEXAS,75240
Mawasiliano: 214 554 7381,
                       682 552 6402
Karibuni sana.