Sunday, May 26, 2013

Ujio wa Obama:Hivi Ndivyo Anavyolindwa

 Raisi wa Marekani anaetarajiwa kuja Tz hivi karibuni ulinzi wake utakuwa Hivi...Atakuja na watu Mia Saba..Wakiwemo walinzi ...inavyosemekana tayari wengine washaingia nchini kimya kimya kuangalia usalama