Tuesday, October 16, 2012

SEND OFF YA REBEKA JAMES IBRAHIM YAFANA KWA KISHINDO KATIKA HOTEL YA GOLD BELT GEITA .



 Rebeka James Ibrahim akiwa na best wake Mama Fausta katika Send Off yake iliyofanyika katika hotel ya Gold Belt Geita.
                     Mwali Rebeka James Ibrahim a.k.a Majembe Makali akionekana katika picha.
                  Kaka yake na Rebeka aiitwaye Shadrack naye akipata flash na maharusi.
                                                  Rebeka akiwa na wapambe wake..
Kaka zake na Pia wadogo zake Rebeka wakipata flash ya pamoja na sister wao kabla ya kwenda kuolewa katika ndoa itakayofanyika Jijini Dar es Salaam muda mfupi ujao.