Monday, October 15, 2012

Mwanamuziki Wa Injili Steven Wambura Afunga Pingu Za Maisha


Mwanamuziki Nguli wa Injili miondoko ya Rhumba na Sebene, Steven Ndugulile Wambura siku ya Jana amefunga Pingu za Maisha na Mwanadada Joyce. Ndoa hiyo Takatifu ilifungwa katika Kanisa la TAG Mwenge Kisha Kufuatiwa na Tafrija iliyofanyika Katika Hotel Ya Kifahari Ya Giraffe na kuhudhuriwa na watu Mbalimbali.

Bwana Harusi ambaye ni Mwimbaji wa Nyimbo za Injili na Mmiliki wa Studio Ya Niko Ambaye Niko, sambamba na Bibi Harusi ni Mfanyakazi katika Wizara ya Nishati na Madini jana walinogesha Usiku Wao Kwa Kuchangamka na Kufurahi.



 Wadau Ndani Ya Ukumbi Wa Giraffe Hotel
 Mc Nambari One Mc Luvanda akiwa Kikazi Zaidi
 Regraaaa Mupaoooo Wambura akiongea Jambo Usiki wa Jana
 Kama Kawa
 Event Nzima iliandaliwa na Editon Company ambapo Maharusi waliwaandalia Keki Ys Suprise Usiku wa Jana hapa CEO wa Editon, Antony Luvanda akiwa na MD, Edna wakifurahia Keki hiyo.
 Daniel Mfwango na John Lisu wakiwa Kikazi Zaidi
 Pastor Timothy Wambura baba Mzazi wa Steven akiwa amesimama alipokuwa akitambulishwa.
 Swahiba Jana alikuwa Mlangoni Kukagua Tiketi
 Nyomist
 watoto waliosimamia wakiwa na Wavulana Wasindikizaji wote majina yao yameanzia na J.
 Kwa Mbaaaaaali
 Mlangoni Unakutana na Hawa Ma-Baunsa kabla hujaingia...Wazee Wa FoF Jana ndo walikuwa Kamati
 Blogger wa Event akiwa na Mc Wa Event
 Mapacha Watatu
Sikukubali Mpaka nikaenda Kulishwa Keki........


Pata Kitu Live
Popout

Papaa Sebene