Padri aliyeongoza ibada ya Misa.
Mr Tony akimvisha bi Imelda pete.
Bi Imelda akimvisha Mr Tony pete.
Maharusi wakipata flash mbele ya kamera yetu.
Bi harusi Imelda akiwa na best yake kwa pozi lao.
Bwana Harusi Tony akiwa na best yake pichani.
Nichumuuu basiiiii.
Hivi ndivyo ilivyokuwa katika harusi yao Tony na Imelda iliyofungwa katika kanisa na Roman Catholic Nyakahoja jijini Mwanza na hafla ya harusi kufanyika katika ukumbi wa hotel ya Malaika jijini Mwanza. Mihangaiko Blog, tunawatakia maisha mema yenye furaha na amani.