Friday, April 29, 2011

Matokeo ya kidato cha sita yametoka

Haya sasa hayawi hayawi sasa yamekua, matokeo ya kidato cha sita hayo yameshatoka.

Tembelea hii link http://196.44.162.33/necta2011/Alevel.htm

Hongera sana Shemeji yangu kwa kuwa wa pili kitaifa. Big up! Kwa kweli nimefurahi sanaaaa, umenikumbusha enzi za shule.

Mungu Ibariki Tanzania Mungu,Ibariki Afrika

Kindle Wireless Reading Device, Wi-Fi, Graphite, 6" Display with New E Ink Pearl Technology