Friday, April 01, 2011

Bima Lee Orchestra - Makulata

Mambo ya Bima Lee Orchestra hayo.

Ni wimbo Makulata.. Jamaa anamtafuta mpenzi wake ili aweze kumpeleka kwao na kisha waoane.

Bint alikuwa amekamilika, tabia nzuri hadi jamaa wanamwimbia wimbo.

Pata kitu hicho hapo